Nipe tano mtu wangu picha ukiangalia kwa umakini jinsi gani Obama anavyopenda kuwa karibu na watu wa rika zote angalia akigongana ngumi na mfanyakazi wa usafi wa IKULU akiwa amevaa GLOVES za usafi yeye Rais mkono mkavu.
Thursday, December 17, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Mzee hiyo tunaita "Five" na siyo ngumi. Mzee naona unampenda Obama ile mbaya, ni kweli ni mtu wa watu, hata Bush alikuwa hivyo hivyo...au sababu Brother ule weusi wake.... have a blessed weekend.
Mdau
Maryland
Post a Comment