Wednesday, June 25, 2008

MUGABE

SASA MUGABE BUNDUKI KWENYE UWANJA TENA ILA NDIYO CHOMBO ULICHOCHAGUA KUCHEZEA,MNASEMAJE WADAU AMBAPO IJUMAA YA WIKI HII UCHAGUZI UNARUDIWA KWA MARA YA PILI HUKU MGOMBEA KUPITIA CHAMA CHA MDC,MORGAN TSVANGIRAI AKIWA AMEJITOA KWENYE UCHAGUZI HUO SASA TUANGALIE MARAIS WA NCHI ZA SADC WAPO MBABANE NCHINI AFRIKA KUSINI WAKIZUNGUMZIA UCHAGUZI HUO.

No comments: