Wednesday, June 25, 2008

KITIMTIM

RAIS WA UFARANSA NICOLAS SARKOZY NA MKE WAKE PAMOJA NA MWENYEJI WAKE EHUD OLMERT BAADA YA KUZINGILWA NA MAAFISA USALAMA KUTOKANA NA MLIO WA RISASI. MAAIFASA USALAMA WA ISRAEL WAKIWA KAZINI.
WAZIRI MKUU WA ISRAEL EHUD OLMERT AKISINDIKIZWA NA MAAFISA USALAMA KWENYE NDEGE YA RAIS WA UFARANSA KUMWELEZA KILICHOTOKEA MUDA MFUPI ULIOPITA,NI MAMBO YA KIDIPLOMASIA LAZIMA MUAGANE KWA AMANI.
BAADA YA SHEKESHEKE HILO RAIS SARKOZY NA MKE WAKE WAKIKIMBIZWA NDANI YA NDEGE YAKE NA WALINZI WAKE.
WAZIRI MKUU AKITOKA KWENYE NDEGE YA RAIS WA UFARANSA.
ULINZI UNAKUWA MKALI MAENEO AMBAYO KUNA VIONGOZI WA JUU KAMA HAO. INASEMEKANI KUNA MTU AMEPIGA RISASI NDANI YA UWANJA HUO NA AMEKAMATWA,ALIKUWA UMBALI NA VIONGOZI HAO KWA MITA 300. JAMAA HUYO AMESHIKILIWA NA JESHI LA POLISI LA NCHI HIYO KWA UCHUNGUZI ZAIDI.

AU NI MASUALA YA UGAIDI???

No comments: