Wednesday, June 25, 2008

50 CENTS

JINA LAKE HALISI NI CURTIS JACKSON,HAPO JUU NI PICHA YA MWAKA 94 ALIFUNGWA KUTOKANA KUWA KATIKA GENGE LA WAUZA MADAWA YA KULEVYA NA KUKAMATWA. KWA SASA NI MWANAMUZIKI WA KUFOKA A..K.A HIP HOP AMBAYE MWENYE VIJISENTI WA PILI AKIWA ANAONGOZWA NA JAY-Z.

KITU CHA KUJIFUNZA KWA HUYU NI KUJITUMA NA KUWA MBUNIFU NDIYO SIRI YAKE HUYU JAMAA.

No comments: