Tuesday, June 10, 2008

MARADONA


DIEGO MARADONA MCHEZAJI WA ZAMANI WA MPIRA WA MIGUU WA TIMU YA TAIFA YA ARGENTINA NI MCHEZAJI AMBAYE ANAFAHAMIKA ZAIDI MAREKANI KULIKO WACHEZAJI WENGINE DUNIANI. MARADONA HAIPENDI NCHI YA MAREKANI KUTOKANA NA RAIS WA NCHI HIYO KUONGOZA KIMABAVU BWANA BUSH. AMEKAA KWA MIAKA KADHAA NCHINI CUBA KWA MUALIKO WA ALIYEKUWA RAIS WA NCHI HIYO FIDEL CASTRO. AMEJICHORA TATOO YA CHE GUEVARA BILA SHAKA WADAU HUYO CHE GUEVARA MNAMFAHAMU.

No comments: