
KUNA MSEMO UNAOSEMA "KAMA UKITAKA KUTEMBEA,TEMBEA NDANI,KUNA UTOFAUTI DUNIANI UKIWA NJE YA GETI". HAYA MANENO YANATOKANA NA PICHA HII YA KITONGOJI CHA GURGAON NCHINI INDIA,KWA UPANDE WA PILI KUNA MJI MZURI ULIOJENGEKA NA UPANDE MWINGINE KAMA UNAVYOONA.
No comments:
Post a Comment