FATHER'S DAY 2008
UNATAKIWA KUJUA SIKU SAHIHI YA BABA ALMAARUFU FATHER'S DAY. NIKUULIZA SIKU YA BABA NI LINI NADHANI HUTAKUWA NA JIBU SAHIHI AU HUJUI KABISA. KWA WAMEKANI SIKU HIYO NI TAR 15 MWEZI HUU AMBAYO NI SIKU YA JUMAPILI. WANANCHI WA AUSTRALIA NA NEW ZELAND WAO WANAADHIMISHA TAR 7 MWEZI WA 9 JUMAPILI YA KWANZA YA MWEZI HUO. SWALI LINARUDI KWETU SISI WAAFRIKA AU WATANZANIA SIKU YA BABA NI LINI KATI YA HAYO JUU AU TUTATOA YETU???
Tuesday, June 10, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment