Wednesday, June 25, 2008

KANYE NA MUHAMMAD ALI

WATU WAMEBEZA HII PICHA NA WANAULIZA NI KWANINI KANYE WEST A.K.A MR WEST,AMEFANYA KITENDO HICHO? KUSHOTO KWAKE YUPO BONDIA WA ZAMANI MUHAMMAD ALI AKIWA AMEVALISHWA MIWANI MIZITO AMBAYO HUWEZI KUONA. LENGO LAO SISI HATULIFAHAMU MAANA HUWEZI KUMCHUKUA MTU MASHUHURI KAMA HUYO HALAFU UKAFANYA HIVYO BILA HATA UTARATIBU WOWOTE ULE.

No comments: