Tuesday, June 3, 2008

KAZI IPO MAZA ANAKABA KINOMA


BARACK OBAMA NA HILLARRY CLINTON WANAKARIBIA MWISHO WA KINYANG'ANYIRO WA KUTEULIWA NANI AWE MGOMBEA KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRATIC ATAKAYE PAMBANA NA JOHN MCCAIN WA REPUBLICAN KUWANIA URAIS WA TAIFA HILO KUBWA DUNIANI. ZIMEBAKIA MAJIMBO YA MONTANA NA SOUTH DAKOTA.

No comments: