Monday, June 2, 2008

EURO 2008 JUNI 7


KITIMUTIMU YA MICHUANO YA TIMU ZA ULAYA WATAANZA KUMENYANA JUNI 7 MWAKA HUU KATIKA JIJI LA BASEL. UFUNGUZI WA MAPAMBANO UTAFUNGULIWA NA TIMU YA JAMHURI YA CZECH NA WENYEJI USWIZI KATIKA UWANJA WA ST.JAKOB-PARK. MICHUANO HII IMESHIRIKISHA NCHI MBILI USWISI NA AUSTRIA. UFUNGUZI HUO UTAPAMBWA NA MWIMBAJI ENRIQUE IGLESIAS NA WIMBO WAKE "CAN YOU HEAR ME".BINGWA MTETEZI NI UTURUKI.

No comments: