SENETA BARACK OBAMA AMEUKWAA NAFASI YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRATIC KWA KUWA NA KURA NYINGI YA WANACHAMA WA CHAMA HICHO KUWA NA IMANI NAYE. HAIJAWAHI KUTOKEA KATIKA NAFASI HIYO YA JUU KUGOMBANIWA NA MMAREKANI MWEUSI NA KUPATA NAFASI HIYO KATIKA HISTORIA YA MAREKANI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment