Saturday, May 3, 2008

WAZEE WALEE


KATIKA DK YA 3 CHRISTIAN RONALDO BAO LAKE LA 40 KATIKA MSIMU HUU NA BAADA YA DK 24 AKATUNDIKA LINGINE,DK 2 BAADAE CARLOS TEVEZ AKAONGEZA NA MICHAEL CARRICK AKAFUNGA MLANGO WA MABAO YA MAN UTD. HATA HIVYO WEST HAM HAWAKUWA NYUMA NA KUFUNGA BAO KTK DK YA 28 NA ASHTON HATA HIVYO MAN UTD AMEBAKIZA MECHI MOJA NA WIGAN.

No comments: