Saturday, May 3, 2008

FAINALI MOSCOW


HUU NI UWANJA WA LUZHNIKI AMBAO UNAMILIKIWA NA TIMU YA FC TORPEDO YA MOSCOW URUSI. KATIKA UWANJA HUU MIAMBA MIWILI YA SOKA KATI YA MASHETANI WEKUNDU NA THE BLUES WATAKAOMENYANA SIKU YA JUMATANO YA TAR.21. NA VILEVILE NI MARA YA KWANZA KWA TIMU MBILI KUTOKA LIGI MOJA KUCHEZA FAINALI KWENYE MICHUANO HII MIKUBWA. NANI MWAMBA KATI YA GRANT AU FERGUSON.

No comments: