
HIVI KARIBUNI TUTAKUWA NA UJIO WA MARAIS NA WAKE ZAO WATOKAO KATIKA BARA LETU KATIKA MKUTANO WA SULLIVAN. TANZANIA NI MWENYEJI WA MKUTANO HUO SABABU KUU NCHI NI YA AMANI. HATA HIVYO TUNAITANGAZA NCHI YETU KWA NYANJA YA UTALII NA VILE VILE KUWAVUTIA WAWEKEZAJI KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI KWENYE SEKTA MBALIMBALI
No comments:
Post a Comment