Thursday, May 15, 2008

SIJUI NITARUDI LINI KUCHEZA ?


RAIS BUSH AMEIBUKA NA KUSEMA AMEACHA KUCHEZEA KLABU YAKE YA GOFU KUTOKANA KUHAMISHIA NGUVU ZAKE KWENYE VITA VYA IRAKI. MCHEZO HUO AMEACHA KUCHEZA MWAKA 2003 NA KUUNGANA NA VIJANA WAKE KUPAMBANA NA IRAKI.

No comments: