Thursday, May 15, 2008

MUUAJI


KIUNGO WA KATI WA CHELSEA MICHAEL BALLACK AKIWA ANAFURAHIA BAO LA PILI ALILOFUNGA DHIDI YA MAN UTD KATIKA LIGI YA UINGEREZA. MAHASIMU HAWA WAWILI WANAKUTANA MOSCOW TAR.21 MWEZI HUU KWENYE HATUA YA FAINALI YA KLABU BINGWA ULAYA NA NI MARA YA KWANZA KWA TIMU AMBAZO ZINASHIRIKI LIGI MOJA KUCHEZA HATUA HIYO YA FAINALI. MSHAMBULIAJI HUYO ATAZIFUMANIA NYAVU ZA WAHASIMU HAO TENA? MAANA WANAHASIRA YA KUKOSA KOMBE LA LIGI KUU YA UINGEREZA.

No comments: