Thursday, May 15, 2008

MUNGU ANAKUPENDA


MSICHANA WA SHULE AMENUSURIKA KUKAA KWA MASAA 50 BAADA YA KUOKOLEWA NA WAOKOAJI WA MSALABA MWENKUNDU NCHINI CHINA KUTOKANA NA TETEMEKO LA ARDHI ILIYOIKUMBA NCHI HIYO HIVI KARIBUNI MPAKA HIVI SASA INAKADIRIWA WATU 15,000 WAMEFARIKI DUNIA KUTOKANA NA DHORUBA HIYO MPAKA HIVI SASA NYUMBA MILIONI 4.3 ZIMEHARIBIKA.

No comments: