Thursday, May 8, 2008

ROONEY

MSHAMBULIAJI WA MASHETANI WEKUNDU WAYNE ROONEY ANATARAJIWA KURUDI KATIKA KIKOSI ILI KUONGEZA NGUVU NA KUTETEA UBINGWA WA LIGI KUU YA UINGEREZA ALMAARUFU PREMIER LEAGUE SIKU YA JUMAPILI KATI YAO NA WIGAN,MECHI HIYO ITAWEZA KUAMUA MAN UTD KUWA BINGWA KAMA WAKISHINDA ILA WAKIFUNGWA AU KUTOA DROO BASI SHUGHULI ITAKUWA PEVU KUWAANGALIA THE BLUES KAMA NAO WAKIFUNGWA LAKINI WAKISHINDA BASI KOMBE LITAKUWA NI LAO.



No comments: