Thursday, May 8, 2008

RAIS WA RUSSIA

RAIS WA TATU WA URUSI TANGU KUSAMBARATIKA KWA UMOJA WA SOVIET,DMITRY MEDVEDEV MWENYE UMRI WA MIAKA 42 AMECHUKUA NAFASI YA VLADIMIR PUTIN.RAIS MEDVEDEV ANAANZA RASMI KAZI LEO NA ATAMTEUA MTANGULIZI WAKE KUWA WAZIRI MKUU PUTIN. KWAHIYO WAZIRI MKUU WA NCHI HIYO AMEJIUZURU VIKTOR ZUBKOV. RAIS HUYO NI WAKILI NA SHABIKI WA KUNDI LA MUZIKI LA UINGEREZA LA DEEP PURPLE.

No comments: