
RAIS WA UFARANSA NICOLAS SARKOZY AMEBADILISHA MAWAZO YAKE KWA KUMUUNGA MKONO MGOMBEA KITI CHA URAIS WA UMOJA WA ULAYA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA TONY BLAIR BAADA YA KUONGEA NA KANSELA WA UJERUMANI ANGELA MERKEL. SASA HUYU RAIS NI KIGEUGEU KAMA WIMBO WA FM ACADEMIA MWANZONI UMEKUBALI KUUNGA MKONO BAADAE UKABADILISHA MAWAZO.
No comments:
Post a Comment