Thursday, May 8, 2008

M V P


KOBE BRYANT AMEPOKEA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MPIRA WA KIKAPU JUMATANO HII NA KUIWEZESHA TIMU YAKE KUJINYAKULIA POINTI 120-110 DHIDI YA UTAH JAZZ. KOBE BRYANT NI MCHEZAJI WA TIMU YA LOS ANGELS LAKERS AMEFUNGA POINTI 34 KATIKA MECHI HIYO.

No comments: