Friday, May 16, 2008

RAHAAAAAA


NASIKIA UTAMU RAHA,SIKU ZOTE TUNAOMBA TUWE NA AMANI KAMA MTOTO HUYU ALIYOKUWA NAYO.TUWAOMBEE WENZETU WA SUDAN MUNGU AWAPE AMANI NCHINI MWAO. WATOTO HAWAWEZI KUCHEZA KAMA MTOTO HUYU.

No comments: