Friday, May 16, 2008

JAMANI NIMEKUWA



HATA HIVYO RAVEN-SYMONE AMEWEZA KUWEKWA KATIKA ORODHA ZA WATAYARISHAJI WA FILAMU NA KUWEZA KUWA NA MAFANIKIO. RAVEN ANASEMA WATU BADO WANAMUONA NI MTOTO NDIYO MAANA ANAJIDIBIISHA ZAIDI.BINTI HUYU NI YULE ALIYEKUWA KATIKA VICHEKESHO VYA MR.COOPER KIITWACHO "HANGING WITH MR.COOPER".

No comments: