Friday, May 16, 2008

PETE IPO WAPI ?


BEKI WA CHELSEA ASHELY COLE JUZI ALIFUMWA NA WAANDISHI WA HABARI AKIWA HANA PETE YA NDOA. AMEKOROFISHANA NA MKE WAKE KUTOKANA NA KUTOKA NJE YA NDOA YAKE NA BINTI MMOJA AMBAYE NI MHUDUMU WA SALOON NCHINI UINGEREZA. AIBU YA MWAKA KWA MCHEZAJI.KWA HIYO UKIKOROFISHANA NA MPENZI WAKO KAMA MMEOANA PETE IKAE PEMBENI??????????

No comments: