HUENDA MARIA SHARAPOVA AKAWA MCHEZAJI WA KIKE MWENYE KIWANGO CHA JUU KULIKO WENZAKE KUTOKANA ANAYESHIKILIA NAFASI HIYO JUSTINE HENIN KUSTAAFU KUCHEZA MCHEZO HUO NA KUOMBA KUONDOLEWA KATIKA ORODHA HIYO. HENIN AMESTAAFU AKIWA NA UMRI WA MIAKA 25 LAKINI WEWE MPAKA UFIKISHE 50 BADALA YA KUACHIA VIPAJI VIPYA KUONYESHA UWEZO WAO.
Friday, May 16, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment