Thursday, May 8, 2008

DAMU YA AFRIKA



MSHAMBULIAJI WA TIMU YA TAIFA YA ANGOLA MANUCHO AMESEMA HAWEZI KUSUBIRI MAZOEZI YA KUANZA MSIMU MWINGINE YATAKAYOFANYIKA CARRINGTON. ANA UMRI WA MIAKA 25 AMEJIUNGA NA MASHETANI WEKUNDU JANUARI MWAKA HUUBAADA YA KUCHEZEA TIMU YAKE YA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA KOMBE YA MATAIFA YA AFRIKA LAKINI HAKURUHUSIWA KUCHEZEA TIMU HIYO KUTOKANA KUTOPATA KIBALI CHA KUFANYA KAZI UINGEREZA. HATA HIVYO ANACHEZEA TIMU YA PANATHINAIKOS KWA MKOPO.

No comments: