Friday, May 16, 2008

MIAKA MITANO MBELE


MCHEZAJI WA KIMATAIFA WA UINGEREZA RIO FERDINAND AMESAINI MKATABA MPYA WAKUENDELEA KUICHEZEA MAN UTD KWA MIAKA MITANO IJAYO. KOCHA WA TIMU HIYO A.FERGUSON AMESEMA BEKI HUYO AMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KATIKA MSIMU HUU KWA KUIMARISHA SAFU YA ULINZI.

No comments: