Saturday, May 3, 2008

MKUTANO SULLIVAN


MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA TAASISI YA SULLIVAN BALOZI ANDREW YOUNG AKIMPA TUZO MAALUM MH.J.K KWAKUWEZA KUPAMBANA NA UMASIKINI NA JUHUDI ZAKE ZA KUDUMISHA AMANI BARANI AFRIKA. NYUMA YA RAIS NA BALOZI NI MRS.HOPE MASTERS AMBAYE NI MWASISI WA TASISI YA SULLIVAN.MKUTANO HUU WA SULLIVAN UTAFANYIKA TANZANIA KATIKA MJI WA ARUSHA KATI YA TAR.2-6 MWEZI WA SITA.NI MGENI MKUBWA TUTAKAOUPATA.

No comments: