
MGOMBEA WA KITI CHA URAIS KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRATIC,SEN. BARACK OBAMA AKIWA PAMOJA NA MKE WAKE MICHELLE,PAMOJA NA WATOTO WAO MALIA AKIWA KUSHOTO NA SASHA AKIWA KATIKA YA WAZAZI WAKE. AKITAMBULISHA FAMILIA YAKE KABLA YA KUTOA HOTUBA KATIKA MAENEO YA HEADWATERS ILIYOPO FORT WAY NCHINI MAREKANI LEO HII. INAONYESHA JINSI GANI NA KUNA MSEMO USEMAO KWENYE MAFANIKIO YA BABA MAMA NAYE YUPO NA NDIYE CHANZO CHA MAFANIKIO HAYO.
No comments:
Post a Comment