
KOCHA WA BARCELONA FRANK RIJKAARD ANAACHIA NAFASI YAKE YA UKOCHA MWISHONI WA MSIMU HUU. NAFASI YAKE ITAZIBWA NA KOCHA WA ZIADA WA TIMU HIYO JOSEP GUARDIOLA. KOCHA HUYO MWENYE ASILI YA UDACHI,45 ALICHUKUA NAFASI HIYO YA UKOCHA MWAKA 2003 NA KUIWEZESHA TIMU HIYO KUCHUKUA UBINGWA WA LIGI ALMAARUFU LA LIGA MWAKA 2005 NA 2006,VILEVILE KOMBE LA KLABU BINGWA ULAYA 2006.
No comments:
Post a Comment