
KIONGOZI WA AL-QAEDA NCHINI IRAQ,ABU AYYUB AL-MASRI,AMEKAMATWA WIZARA YA ULINZI YA NCHI HIYO LATHIBITISHA HILO. ANAJULIKANA KWA JINA LINGINE LA ABU HAMZA AL-MUHAJIR. KIONGOZI HUYO MWENYE ASILI YA MISRI ALICHUKUA NAFASI HIYO BAADA YA KUUWAWA KWA KIONGOZI WAO ABU MUSAB AL-ZARQAWI ALIYEUWAWA NA MAREKANI MWAKA 2006, JUNI 6. SIKU ZOTE ZA MWIZI AROBAINI.
No comments:
Post a Comment