Tuesday, May 20, 2008

24'


WAZEE WA SERIES BILA SHAKA HUYU JAMAA WANAMFAHAMU ALMAARUFU JACK BAUER. JINA LAKE HALISI NI KIEFER SUTHERLAND AMEACHANA NA MKE WAKE RASMI. MWIGIZAJI HUYU AMEWEZA KUTEKA HISIA ZA WATU KUTOKANA NA UIGIZAJI WAKE WA SERIES IITWAYO 24'.

No comments: