Tuesday, May 20, 2008

BECKHAM KUZURU BONGO




MCHEZAJI NYOTA WA MPIRA WA MIGUU DAVID BECKHAM AMEALIKWA NA ROCK STAR BONO KUPANDA MLIMA MREFU KULIKO WOTE BARANI AFRIKA MLIMA KILIMANJARO. BONO WANAHITAJI KUSAIDIA UNICEF KUPATA FEDHA KWA AJILI YA WATOTO. HATA HIVYO Thesun.co.uk IMERIPOTI KUWA MCHEZAJI HUYO ATAPANDA MLIMA,LAKINI YEYE MWENYEWE AMESEMA ANASHUGHULI NYINGI KUTOKANA NA MAJUKUMU YA TIMU YAKE YA LA GALAXY

No comments: