Wednesday, May 21, 2008

WACHA WEEEEE


HILLARY CLINTON AMESHINDA KATIKA JIMBO LA KENTUCKY KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRATIC KUWANIA NAFASI YA CHAMA HICHO KUWA MGOMBEA URAIS NA KUMSHINDA BARACK OBAMA. WAPIGA KURA WANAENDELEA KUPIGA KURA KATIKA JIMBO LA OREGON. BARACK OBAMA AKISHINDA KWA KURA YA JUMLA ATATHIBITISHWA NA CHAMA CHAKE KATIKA KAMATI KUU.

No comments: