John Terry amesaini mkataba mpya katika klabu yake ya Chelsea mkataba huo umemfunga mpaka mwaka 2014 kipindi cha majira ya joto na mshahara wake ni £160,000 kwa wiki. Kutokana na kitita hicho atakuwa mmoja wa wachezaji wanaolipwa zaidi katika ligi kuu ya Uingereza.
Team USA Forced to Clap for Caitlin Clark?
1 week ago
No comments:
Post a Comment