Friday, February 5, 2010

INVICTUS


Out of the night that covers me,
Black as the pit from pole to pole,
I thank whatever gods may be
For my unconquerable soul.

In the fell clutch of circumstance
I have not winced nor cried aloud.
Under the bludgeonings of chance
My head is bloody, but unbowed.

Beyond this place of wrath and tears
Looms but the Horror of the shade,
And yet the menace of the years
Finds and shall find me unafraid.

It matters not how strait the gate,
How charged with punishments the scroll,
I am the master of my fate:
I am the captain of my soul.

HII NI SHAIRI LA INVICTUS, KAMA HUJAANGALIA FILAMU HII TAFADHALI TAFUTA UWEZE KUIANGALIA. SINA MENGI KUKUAMBIA ILA JINA LA FILAMU HII NA MAUDHUI YAKE IMETOKANA NA SHAIRI YA WILLIAM ERNEST HENLEY ALIYOANDIKA MWAKA 1875 NA KUCHAPISHWA KWA MARA YA KWANZA 1888 KATIKA KITABU KIITWACHO Life and Death ( Echoes).

NI FILAMU ILIYOCHEZWA AFRIKA KUSINI NA MORGAN FREEMAN NI MHUSIKA MKUU AMEVAA UASILIA WA NELSON MANDELA NA UKIWA MAKINI KATIKA FILAMU HIYO UTASIKIA MARA NYINGI AKITAMKA MANENO HAYA ( I am the master of my fate ; I am the captain of my soul ) NA MANENO HAYA YANAPATIKANA KATIKA UBETI WA MWISHO MISTARI MIWILI YA MWISHO WA SHAIRI LA INVICTUS.

KAA NA UFIKIRI FILAMU HII KWANINI IMETENGENEZWA MWAKA 2009 ? KWANINI WAMEAMUA KUHUSISHA FILAMU HII NA MCHEZO WA RUGBY AMBAO AFRIKA KUSINI NI WASHINDI MWAKA 1995 DUNIANI NA VILE VILE MWAKA 2007 WA MCHEZO HUO?

No comments: