Monday, January 11, 2010

CAN 2010


Huku timu ya Taifa ya TOGO ikiwa wamejitoa kushiriki kutokana na matatizo yaliyowakumba mechi za ufunguzi zimeanza huku wenyeji wakiwa wameshawafunga wapinzani wao MALI magoli 4 - 0 mpaka kipindi cha pili cha kuustajabisha wapinzani hao wamerudisha magoli yote na matokeo ni 4-4.
Ni matokeo ya kundi A.
ANGOLA 4 - 4 MALI
Prrrrrrrrrr mpira umeisha............

No comments: