Tuesday, December 29, 2009

BARBER SHOP

Sasa huu uhuru ni balaa kama unavyoona ni Tangazo lililowekwa kwenye Barber Shop moja nchini Marekani.

1 comment:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Sioni kitu cha kushangaza hapa. Zote hizi ni staili za kawaida za nywele kwa Black Americans.

Kwetu kufanya hivi ni kinyume cha sheria?