Saturday, November 28, 2009

CHALENJI LEO,KENYA


WENYEJI Harambee Stars ya Kenya leo jioni itajitupa katika Uwanja wa Nyayo, Nairobi kucheza na Zambia ‘Chipolopolo’ mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Chalenji.

No comments: