Dawati la Michezo la TBC limevunjika baada mtangazaji wa michezo wa pili kutoka kushoto kwenda kulia CLIFFORD M.NDIMBO kuacha kazi baada ya kupata Simba S.C ambaye ni Msemaji wa Klabu hiyo na vile vile amerudi Channel 10 na Magic Fm nakutakia kila la kheri.Ni jambo la kujivunia TBC kutoa Wasemaji wa Vilabu vikubwa Nchini......
No comments:
Post a Comment