Juzi Jumapili katika mizunguko yangu nilikutana na dogo mmoja kukadiria umri wake kama miaka 22 hivi anaendesha gari BMW X6 KWA kasi kubwa ya ajabu.
Thamani ya gari : $55,900
Nguvu ya injini Horsepower; 300 @ 5800
Halafu unakuta ametumwa library kuazima Movie kwa kweli bongo tambarale.
Halafu unakuta ametumwa library kuazima Movie kwa kweli bongo tambarale.
No comments:
Post a Comment