Thursday, July 31, 2008

SHANGANI HOTEL

NIKIWA NA RAFIKI YANGU GEORGE BAKARI [KUSHOTO] NJE YA HOTELI YA SHANGANI,TULIKUWA ZANZIBAR KWA AJILI YA SUMMER SCHOOL AMBAYO NI SEHEMU YA MASOMO CHINI YA TAASISI YA UJERUMANI KOZI YENYEWE NI 'YOUTH LEADRESHIP TRAINIG PROGRAM' NI YA MUDA WA MWAKA MMOJA,ILIYOFUNGULIWA NA WAZIRI WA UTALII,BIASHARA........, BIBI SAMIA S.HASSAN,TAR. 30 JUNE 08.

No comments: