

TUNAJIVUNIA SISI WAAFRIKA KUONA VIJANA WENZETU WAKIPEPERUSHA UJASIRI NA UKAKAMAVU WA WAAFRIKA. BILA SHAKA MCHEZAJI WA CHELSEA DIDIER HAPO JUU NI BALOZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA NI KWA SABABU YA KUPATANISHA WAASI WA NCHI HIYO PAMOJA NA SERIKALI YA NCHI YAO WALIOKUWA WAKIISHI KUSINI MWA IVORY COAST.
No comments:
Post a Comment