Monday, July 21, 2008

COMING LEADERS.

KUTOKA KUSHOTO NI CATHERINE MASINGISA,NDEKIA PAMOJA NA PETROLINA MICHAEL TUKIWA SUMMER SCHOOL ZANZIBAR KWA MAFUNZO YA UONGOZI. SISI NI BAADHI YA INTAKE YA SABA YA YOUTH LEADERSHIP TRAINING PROGRAM INAYOENDESHWA NA TAASISI YA UJERUMANI FES.

1 comment:

Anonymous said...

Hiko chuo kilikuwa kina angalia walembo tu au maana Naona ni walembo mkuu.Big up mmetoka bomba
Jayjay