
MGOMBEA URAIS WA MAREKANI KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRATIC AMEFIKISHA DOLA MILLIONI 54 KWA MWEZI WA 6 NA KUMPITA MGOMBEA KUPITIA CHAMA CHA REPUBLICAN JOHN McCAIN. HIVI SASA YUPO NCHI ZA MASHARIKI YA MBALI NA LEO HII YUPO NCHINI AFGHANISTAN.
MAMBO YA KAMPENI HAYOOOO NA SISI JE KAMPENI ZETU ZINAISHIA WAPI ? MBONA HATUENDI HATA KUWASHAWISHI WENZETU WALIPO NCHI ZA WATU WAWAPIGIE KURA KUPITIA BALOZI ZETU JIULIZE ???
No comments:
Post a Comment