Thursday, June 19, 2008

YOUNG JEEZY


SASA HUU UVAAJI BALAA,HUYO NI MWANAMUZIKI WA MAREKANI YOUNG JEEZY. KIFUA WAZI HUKU AMEVAA SURUALI CHINI YA MAKALIO A.K.A KATA K MWANZILISHI WA UVAAJI HUO ALIKUWA MAREHEMU OMAR 2PUC SHAKUR. WASANII WAKIBONGO UTAWAONA NAO WAKITEMBEA KIFUA WAZI KAMA HAWA. KUNA KAULI YAO WANASEMA "JAMII ITAWATAMBUAJE WAO NI WASANII". KATA K WABONGO WAMEWEZA NA SASA ACHENI VIFUA VYENU WAZI. MENGINE HAYAIGWI WAJAMENI.

No comments: