Thursday, June 19, 2008

KILA LA KHERI

Hiki ndicho kikosi cha Taifa Stars kilichopambana na Cameroon mwishoni mwa wiki hii tunayoimaliza jijini Dar-es-salaam na kutoka sare ya bila kufungana.

Waliosimama mstari wa nyuma kabisa kutoka kulia ni Dan Mruanda, Nadir Haroub, Athumani Iddi, Shaaban Nditi na Salum Swedi.
Mstari wa kati kutoka kushoto ni Nizar Khalfani, Shadrack Nsajigwa, Godfrey Bonny, Mrisho Ngassa na Amiri Maftaha.Aliyechuchumaa mbele ni Tanzania One, Ivo Mapunda. taarifa ya juu kwa msaada wa http://www.bongocelebrity.com
IJUMAA YA KESHO KUTWA WANAENDA YOUNDE,CAMEROUN KURUDIANA NA SIMBA WASIOFUGIKA.
BREAKING NEWS;KOCHA WA TAIFA STARS MARCIO MAXIMO AMESAINI MKATABA WAKUENDELEA KUING'OA TAIFA STARS KWA MIAKA MIWILI MENGINE,MKATABA WAKE UNAISHA JILAI 2 MWAKA HUU ALIOSAINI MIAKA MIWILI ILIYOPITA.

No comments: