Thursday, June 26, 2008

UJERUMANI 3 - 2 UTURUKI

KAPTENI WA TIMU YA UJERUMANI MICHAEL BALLACK AKIWA ANASHANGILIA USHINDI BAADA YA KUIBUKA WASHINDI KATIKA NUSU FAINALI WALIOCHEZA KATIKA MICHUANO YA EURO 2008.

KIKOSI CHA UJERUMANI; 1-Jens Lehmann; 3-Arne Friedrich, 17-Per Mertesacker, 21-Christoph Metzelder, 16-Philipp Lahm; 7-Bastian Schweinsteiger, 6-Simon Rolfes, 13-Michael Ballack, 15-Thomas Hitzlsperger, 20-Lukas Podolski; 11-Miroslav Klose.

KIKOSI CHA UTURUKI; 1-Rustu Recber; 20-Sabri Sarioglu, 6-Mehmet Topal, 4-Gokhan Zan, 3-Hakan Balta; 18-Kazim Kazim, 22-Hamit Altintop, 7-Mehmet Aurelio, 19-Ayhan Akman, 16-Ugur Boral; 9-Semih Senturk.

MECHI YA KESHO KATI YA HISPANIA NA URUSI ATAKAYESHINDA ATAPAMBANA NA UJERUMANI KATIKA HATUA YA FAINALI.

No comments: