NELSON MANDELA AKIWA AMEKAA NA MKE WAKE,NYUMA KWA UPANDE WA MANDELA YUPO RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON PAMOJA NA MKE WA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA SARAH BROWN. NYUMA YA GRACE MACHEL YUPO WAZIRI MKUU WA UINGEREZA PAMOJA NA BINTI WA CLINTON AITWAYE CHELSEA CLINTON.

OPRAH WINFREY NI KATIKA WAGENI WALIOALIKWA KWENYE DINNER HIYO.

WILL SMITH AKIWA NA MKE WAKE JADA PINKET BILA SHAKA NAO WALIALIKWA HATA HIVYO HAWA WATAKUWA MA-MC KWENYE HALFA YAKE NELSON MANDELA YA KUKUMBUKA SIKU YAKE YA KUZALIWA TAR 18th JULY ANATIMIZA MIAKA 90 NCHINI AFRIKA KUSINI.


HAPO JUU NI WAPISHI WALIOFANIKISHA DINNER HIYO IKAFANA NA CHAKULA HICHO KIMEBUNIWA NA CHEF GORDON RAMSEY.
No comments:
Post a Comment