
MDOGO WAKE RAIS WA MAREKANI,AITWAE JEB BUSH AMBAYE NI GAVANA WA 43 WA JIMBO LA FLORIDA. WAMEZOEA KUONYESHA "DOLE GUMBA". HUU NI UKOO WA BUSH AMBAYE BABA YAO ALING'OLEWA MADARAKANI KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA URAIS NA BILL CLINTON MWISHONI MWA 1992. MTOTO WA NYOKA NI NYOKA.
No comments:
Post a Comment